herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,141
- 4,721
Wakuu
Kwanza naomba nikiri kuwa nimemsikiliza RC Dar ila si kwa asilimia 100 kwa sababu ulikuwa ni muda Wa kazi hivyo concentration ilikuwa Nusu nusu.
Kila nilipokuwa napata muda Wa kumsikiliza, sikusikia akiongelea Matokeo mabaya ya kidato cha NNE(2016) katika mkoa wake Wa Dar es salaam. Nimemsikia akiongelea changamoto mbalimbali kwenye masuala ya ardhi, maji, umeme, barabara lakini si MATOKEO YA KIDATO CHA NNE.
JE NI MIMI PEKE YANGU AU KUNA WENGINE PIA HAWAJAMSIKIA??????