Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeamua kwa moyo safi kusafiri na ATCL kwa sababu nyingi tu, ambazo sitazitaja sababu ni uamuzi binafsi. Kilichonisikitisha sana ni kwamba bado mko usingizini, business as usual! Kwa muda wa...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Hawa ndyo serkali inabidi ile nao sahan moja.
2 Reactions
58 Replies
15K Views
Habarini za majukumu? Kuna mtu analo jina alilokuwa akitumia shuleni lakini baadae alipobatizwa alipewa jina lingine na ndilo linalojulikana mtaani na yeye ndo analolipenda. Sasa katika...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Muigizaji maarufu nchini Tanzania ameandika katika ukurasa wake wa istagram kwa uchungu sana kuhusu ajali iliyotokea Juzi maeneo ya Masaki.... kwamba ajali imetokea Polisi wakawa wamekaa tu wako...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kijana mmoja alikua na ndoto siku moja awe mwandishi wa filamu na muigizaji mkubwa nchini Marekani.. Alijaribu kuandika baadhi ya filamu nyingi na kuzipeleka kwa waongozaji filamu wakubwa kipindi...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Niaje wana JF?? m n mpangaji mkongwe sana kwenye nyumba 1 hapa mjini. Sasa cjakua mtaalamu Wa Sheria ya mapango. Kiukweli chumba kimoja tunakaa wanaume wa2. Hii n kutokana na hali ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Uuuuuwiiiiiiii!!!!!!!!!!!! Yarabiiiiii!!!! Mwaka 2009 nilipatwa na furaha isiyokuwa na kifani baada ya kuchaguliwa kujiunga na masomo ya juu katika ngazi ya uhasibu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Ni jambo la kushangaza considering idadi kubwa ya waHindi na waChina waliojazana hapa nchini. Hivi ni nini hiki, nini kinaendelea hapa?!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kwanza tujipe pole na mikikimikiki ya hapa na pale katika kipindi kizima cha weekend hasa iliyotokea huko Dodoma, nimesema pole na sio hongera kwa sababu naamini yalotokea Dodoma wengi wenu...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Baada ya mwimbaji Diamond Platnumz leo march 14 2017 kupitia kipindi cha Clouds 360 ya Clouds TV kuomba serikali iwasaidie vijana wa vibanda vya chipsi pamoja na bodaboda kuhusu ishu ya muda wa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu, na leo nawaeleza ukweli kuhusu tasinia ya habari Tanzania. Tunayo magazeti utitiri na TV/Radio ila katika vyombo vilivyobaki stebo na kubalansi habari bila uonga ni...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Simba,Nyati,Faru,Chatu....haya ndiyo majina ya wanyama yanayoweza kukujia akili pindi ukiulizwa MNYAMA YUPI NI HATARI ZAIDI KWA MWANADAMU.Well,amini usiamini,kiumbe hatari zaidi ni mdogo mara elfu...
5 Reactions
33 Replies
14K Views
Habari zenu mabibi na mabwana
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mh.Rais, Kabla ya hao wasanii tunaomba uanze na sisi wakulima plse, elewa sisi ndiyo tupo wengi na 2020 utatuhitaji saaana.... !! Elewa Hatuna Pembejeo ! Mbegu, Mbolea , Nguvu Kazi duni, Elimu...
2 Reactions
4 Replies
881 Views
Jamani sheria inasema askari akija kukupekua katika eneo lako unatakiwa kumpekua kwanza yeye ukijiridhisha ndiyo umruhusu akupekuwe maana anaweza kuleta kipandikizi.
11 Reactions
75 Replies
6K Views
Gari lenye tenki la mafuta lawaka moto hapa Buguruni Dar es Salaam muda huu Nilichojifunza -Uchawi Upo Kichwa cha Lori Kimeungua Zaidi ya Dakika 45 bila Moto kufika kwenye tenk mbili za...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Napenda tusaidiane kujua gharama kupanga nyumba ya NHC KWA ILALA,KARIAKOO NA POSTA. Nahitaj nyumba maeneo hayo haraka sana.angalau vyumba visipungue viwili na vizidi 3. Nifaham kwanza gharama na...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Habari wakuu, Kutokana na kile kilichotokea DODOMA, dhidi ya baadhi ya makada wa Chama tawala kuvuliwa uanachama, wanachama wa Chama hicho wamepinga vikali kuvuliwa uanachama kwa Mwenyekiti wao...
7 Reactions
55 Replies
7K Views
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imekutana na mawakala watakaotumiwa na kampuni hiyo kuuza asilimia 25 za hisa za kampuni hiyo katika soko la awali IPO zitakazoanza kuuzwa rasmi tarehe 9...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom