Gharama ya Umeme

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
784
327
Habarini wadau.

Naomba mnisaidie tararibu na makadirio ya gharama kuunganisha umeme.

Eneo langu ni Kigamboni Kibada mita kama 200 toka nguzo ya mwisho.
 
Mita 200 unaweza kulipia nguzo moja ambapo sidhani kama itakuwa juu ya laki7 pamoja na kuunganisha.
 
Back
Top Bottom