Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,644
Numekua kati ya watu wasio support Clouds Media Group kwa sababu mbali mbali za unafiki wanaojihusisha nao.Wameandaa campaign ya Malkia wa Nguvu hivi karibuni lakini nashangaa kutomuona Jackline Mengi kama one of the nominees.Ijulikane kua huyu Jackline ni mtu ambaye chini ya Dr Ntuyabaliwe Foundation amekua akijenga library na ku zi equip kwa bure kabisa kwa ajili ya shule zetu.Sasa nashangaa kuona nominees wa kijinga kwenye categories tofauti.....eti mtu anaeuza vipodozi nae ni Malkia wa nguvu....wanawake kama Joyce Kiria wapo wanasaidia kufundisha ujasiriamali kwa wanawake wenzao lakini eti hawawaoni....shenzziiiiii kabisa..Sijui na nominations wameanza kuuza siku hizi
N.B: Ni mtazamo wangu!
N.B: Ni mtazamo wangu!