Tahadhari watumiaji wa earphone wakati wowote

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Wana jamvi

Salaam

Watumiaji wa earphone wakati wote aither wakati wa kuongea na simu ama wakati wote wameziweka katika masikio yao, earphone zinalipuka na zinaweza kuleta madhara makubwa kama isipotumiwa vizuri na wakati muafaka kuna ajali moja ilimtokea dada mmoja akiwa ndani ya ndege kutoka beijing China kwenda Melbourne Australia akiwa ameweka earphone masikioni ghalfa akisikia mlipuko kutoka katika earphone zake na kujeruhiwa vibaya maeneo ya masikio hadi mashavu.

Chanzo: Clouds TV.
 
Hii si kwa earphones za kawaida...taarifa ni kwamba zilikuwa ni battery powered headphones
Mwenyewe aliyeumia ni huyu hapa
byhn0rxujrfttxew8c1m.jpg

Kwa hizi earphones zetu za mchina kama phillips ama samsung hazipitishi umeme wa kutosha kulipuka kwa kiasi hicho kama kukitokea hitilafu yoyote.

Source
News: Battery explosion mid-flight prompts passenger warning
 
Hicho chanzo chako cha habari si ndio B cha kile kilichotutangazia kuwa D Trump kamsifia Sizonje maana watangazaji wao wana mlengo wa kibashite bashite
 
Ndio bt ukiwa unatumia sana
Hii ni ngumu kuamini sioni uhusiano wowote kati ya uwezo wa kufikiri na earphones tukisema kitu kiko scientifically proved nafikiri ni bora ukaonyesha publications (machapisho) ya hiyo research (utafiti) iliofanywa na hao wanasayansi ili tujadili vizuri na kuona kama kweli zina madhara hayo.
 
Tafiti za wabongo ni za chini ya miti..mtu anaongea tu!! Mi kipindi hicho nipo chuo nilikuwa siwezi kusoma bila earphone na hazikuwahi kunipa shida hata siku moja!!
 
Back
Top Bottom