Tanganyika Law Society coming election

Tlaghasi

Member
Feb 16, 2017
5
3
HABARI WANA JAMII FORUM.


Nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu muweza wa yote kwa hali ya hewa nzuri hapa arusha
nikiamini pia kuwa ataubariki mkutano wa mawakili unaofanyika leo ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi wa Tanganyika Law Society hapo kesho,

Ni matumaini ya kila mtanzania kuwa uchaguzi utakuwa wa huru na haki na pia wa amani maana hii ni hatua moja kubwa kwa watanzania kuelekea ushindi dhidi ya manyanyaso yoyote dhidi ya haki zao za msingi. naomba kwa pamoja tuungane kuuombea uchaguzi huu ili tupate viongozi wenye ujasiri wasiotetemekea mamlaka zingine bali watasimama kidete kuwatetea watanzania.
 
Naomba kujua kama Lisu kuwa kizuizini kutaathiri yeye kuwa mgombea? Ukishanijibu ndio ntajua kama nitukane ama nisitukane
 
Back
Top Bottom