Najaribu kutafakari, kijana kakamatwa na binti wa mtu thn suala la ndoa ya mkeka linapitishwa, bt tumeambiwa hakuna ndoa bila cheti cha kuzaliwa.....navuta picha Ostaadhi akiomba cheti cha kuzaliwa toka kwa mtuhumiwa kabla ya kuomba ubani kwa ajili ya ndoa...... ......1+1=MOJA NDEFU.