Pozzers JF-Expert Member Sep 14, 2013 337 560 Mar 16, 2017 #1 Nchi hii Ingekua Sehemu Salama zaidi ya Kuishi Duniani.
I Itonjanda JF-Expert Member Oct 22, 2014 638 349 Mar 16, 2017 #4 Tusingekuwa na akina Bashite wakiwa wakuu wa mikoa...!! Tafakari...!!
kson m JF-Expert Member Jan 24, 2014 6,667 3,051 Mar 16, 2017 #5 nchi sio salama kwa wapinzani.....devils arena .
mlogolaje JF-Expert Member Nov 10, 2016 1,509 813 Mar 17, 2017 #7 Kwani lisu wanamwogopea nini,mkuu weka na picha ya lisu tumuone
C continent Member Mar 14, 2017 35 23 Mar 17, 2017 #9 Weka picha ya KAMANDA hapoo anaogopwa kama ukoma