Maombi ya mnyororo kwa mh. Rais

Kitikiti

JF-Expert Member
Nov 4, 2015
353
249
Ni vema kwa watu MUNGU tutumie nafasi kila siku kumwombea Rais wetu mpendwa ili MUNGU aelendee kumtumia kutuongoza kwa mapenzi ya MUNGU.

Mungu ametupatia kiongozi mzuri sana. Tumpende Mh. Rais na tumuunge mkono.

MUNGU ANA MPANGO MZURI KWA WATANZANIA, NA ANATUPENDA SANA.

TUSISAHAU KUMSHUKURU MUNGU KILA SIKU, NA KUMWOMBA MUNGU AENDELEE KUMPIGANIA HASA KWA WAKATI HUU, AMBAPO WAPINGA MAENDELEO KAMA WA MADAWA YA KULEVYA WANAVYO PATA KICHAPO NDANI NA NJE YA NCHI.
 
Maombi yangesikika kwa mungu kama angekuwa hana chuki dhid ya wasio muunga mkono maana hata maandiko matakatifu yamendikwa wapendeni adui zenu , sasa kumuombea mtu aisiye amin katika maombi na maandiko ni kmpigia kelele mungu bila sababu , ELIMU ELIMU ELIMU.
 
Unayajua mapenzi ya Mungu? Hakuna zaidi ya justice. Sasa je justice ipo? Do we obey the constitution?
 
Tatizo lenu la kwanza mnaamini sana Mungu awafanyie mambo mnayotakiwa kufanya wenyewe.

Mungu angekuwepo, mtu dhalili kama huyo mnayemuombea asingepata uongozi.
 
Mwanzoni niliamin maybe huyu ni chaguo la Mungu. But then kadri ya cku zinavyokwenda.. mambo yanabadilika... maamuz yake, style ya utawala wake.. now naanza kuamini lilikuwa ni chaguo la bahat mbaya..
 
Ni vema kwa watu MUNGU tutumie nafasi kila siku kumwombea Rais wetu mpendwa ili MUNGU aelendee kumtumia kutuongoza kwa mapenzi ya MUNGU.

Mungu ametupatia kiongozi mzuri sana. Tumpende Mh. Rais na tumuunge mkono.

MUNGU ANA MPANGO MZURI KWA WATANZANIA, NA ANATUPENDA SANA.

TUSISAHAU KUMSHUKURU MUNGU KILA SIKU, NA KUMWOMBA MUNGU AENDELEE KUMPIGANIA HASA KWA WAKATI HUU, AMBAPO WAPINGA MAENDELEO KAMA WA MADAWA YA KULEVYA WANAVYO PATA KICHAPO NDANI NA NJE YA NCHI.
Kuna wakati huyu Mungu tunamsingizia mengi na kumbebesha mizigo isiyostahili
 
Ni vema kwa watu MUNGU tutumie nafasi kila siku kumwombea Rais wetu mpendwa ili MUNGU aelendee kumtumia kutuongoza kwa mapenzi ya MUNGU.

Mungu ametupatia kiongozi mzuri sana. Tumpende Mh. Rais na tumuunge mkono.

MUNGU ANA MPANGO MZURI KWA WATANZANIA, NA ANATUPENDA SANA.

TUSISAHAU KUMSHUKURU MUNGU KILA SIKU, NA KUMWOMBA MUNGU AENDELEE KUMPIGANIA HASA KWA WAKATI HUU, AMBAPO WAPINGA MAENDELEO KAMA WA MADAWA YA KULEVYA WANAVYO PATA KICHAPO NDANI NA NJE YA NCHI.
Sio kila apingae ni muuza unga au mpinzani! Angalia uhalisia vijana graduate wapo mtaani mwaka wa ngapi? Unataka wafkshe miaka 3 kama wengne waliyosoma chuo wakiwa hawana ajira?

UHAKIKI ulisemwa miez 2 leo unaekekea mwaka mzma hafu bdo watu unawaunganisha kwa wauza madawa wakilalamika? Achen ushabiki wa kinyumbu, AJIOMBEE MWENYEWE KWA NN BASHITE ANAENDA MWENYEWE KANISANI NA ANALIA? YY HANA MACHOZI? MAENDELEO YAPI AMEKULETEA? AU WW MWANA CHATO? MNAFURAHIA UJIO MAJI NA UWANJA WA NDEGE? MTAPANDA MNAENDA WAPI? DAWA HOSPT HAKNA HIZO NDEGE NDO TUTATUMIA KAMA DOZ ZA MALARIA? NYUMBU KABSA! IKIFKA JPILI MWAMBIE AENDE KANISANI AKAJIOMBEE MWENYEWE!
 
Back
Top Bottom