Utapeli / Wizi unaotumiwa na Mabenki kwa watanzania maskini ''VISA CARD''

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.jpg
Benki ni kimbilio la watu kwa usalama wa pesa na mali km hati , vyeti n.k vinahifadhiwa benki ; lakini cha kushaangaza limeanza kuwageuka wanyonge.

Visa kadi ni kadi unayoruhusiwa kutoa kadi benki yoyote ; ili mradi iwe ya visa ; kumbuka password nyingi za watu ni miaka ya kuzaliwa ya watu. Ni four digit ambayo aiingii akilini kukosea kirahisi. Wizi wa kisasa unaotumiwa na mabenki ni kuuza kadi kwa lazima.

Ukiwa mteja wa orodha hii ya benki za biashara Tanzania:[1]
  1. Standard Chartered Bank (T)
  2. Stanbic Bank (T)
  3. Citibank (T)
  4. FBME Bank
  5. Bank of Africa
  6. Diamond Trust (T)
  7. Exim Bank (T)
  8. National Bank of Commerce
  9. National Microfinance Bank
  10. CRDB Bank
  11. People's Bank of Zanzibar
  12. Akiba Commercial Bank
  13. Kenya Commercial Bank
  14. International Commercial Bank (T)
  15. Habib African Bank
  16. Barclay's Bank (T)
  17. African Banking Corporation (T)
  18. Commercial Bank of Africa
  19. CF Union Bank
  20. Savings and Finance Commercial Bank
  21. Azania Bancorp
  22. Bank of Baroda (T)
  23. Bank M (T)
  24. Access Bank Tanzania
  25. Bank of India Tanzania
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image003.jpg
Ukienda kutoa pesa kadi inazama bila sababu ili hali password iko correct ''haitoki'' ukiwaomba wanakuambia nenda tawi lako la benki. Ukifika na kuwaeleza wanadai wanakupa kadi mpya na kadi mpya ni kuanzia 15,000- 25,000. Hiyo kadi ishakuwa batili.

Naomba configurations za ATM zichunguzwe ushakuwa mtaji; mfano benki kubwa zikizama kadi

40 kadi x 15000 bei ya kadi mpya = 600,000/= . Bila jasho.
Ukiangalia expire date ni tarehe za karibuni' ; iki expire unachagia mbali na
Gharama

C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image004.jpg
 
Hii ishawahi kunikuta hii, nilienda kwenye ATM nikiwa na akili zangu timamu kabisaaaa...cha ajabu naweka nywira zangu zikagoma...nikahisi ule ni mchezo wa crdb
 
nafikiri sasa watu waanze kutumia zile mashine za kuswipe kwenye biashara zao jamani,ili kunusuru wateja na hii kadhia ya kuhitaji kuwa na cash all the time.
yani kuna nchi(mfano SA)hadi makanisani kuna mashine za kuswipe kadi ili utoe sadaka,ukienda supermarket unaweza kuwithdraw pesa kwenye till sisi wapi panatushinda mpaka tumestuck kwenye kubebana na mihela mda wote.
 
Yalishanipata hayo.

Nilitoka uwanjani Taifa. Nikataka kuchukua fedha ATM za NBC kwa Visa Card ya CRDB. Haikurudi na ilikuwa Jumapili. Jumatatu nikaamkia pale NBC. Nikamwona manager akadai hakuna jinsi hawawezi kunipa tena hiyo Card nirudi kwenye tawi langu nichukue Card mpya. Sasa kichekesho cha mwaka. Nilipata card mpya baada ya week 5!
 
gregoire's umesema kweli,mana doh sio kwa mabei hayo ya kadi.
Ukiweka bank laki 1 ukaa km mwaka 1 hiv siku ukienda kuangalia salio unaweza kukuta 2000 tu ndiyo imebaki. Ukitaka kuona matapeli. Kachukulie hela dirishan halafu nenda kweny ATM utoe kias hicho hicho uone utakatwa ngapi? ukumbuke hiyo ni bank 1.. Bank yyte siyo rafiki kwa binadamu
 
Yalishanipata hayo.

Nilitoka uwanjani Taifa. Nikataka kuchukua fedha ATM za NBC kwa Visa Card ya CRDB. Haikurudi na ilikuwa Jumapili. Jumatatu nikaamkia pale NBC. Nikamwona manager akadai hakuna jinsi hawawezi kunipa tena hiyo Card nirudi kwenye tawi langu nichukue Card mpya. Sasa kichekesho cha mwaka. Nilipata card mpya baada ya week 5!
Kwa shiling ngap walikupa hiyo kadi?
 
Achana na hii, mimi iliwahi kunipata hiki.

Nilienda kwenye atm za BMN, ili nikatoe fedha kutokana na ukweli kuwa atm ya BDRC haikuwa na fedha kwa wakati huo. Nilipofika, nikatia kadi na kuweka nyuli kisha kuchagua huduma ya kutoa pesa kama kawaida. Transaction ikafanyika kama kawaida, lakini fedha hazikutoka hata kidogo. Nikarudia mara ya pili kwa kudhania huenda ni mtandao unasumbua, ishu ikawa hivyo hivyo. Transaction inafanyika lakini pesa hazitoki.

Nikatoka pale, nikatoka pale nikatafuta mahala pengine. Kuangalia salio, kumbe taarifa zinaonyesha nimetoa pesa wakati sijapata chochote.

Kesho yake nikaamkia BMN, wakanambia niende kwenye benki yangu kupeleka taarifa. Kufika huko, narudishwa kule kule tena. Nikaenda kuwakomalia, waangalie transactions za siku husika za ATM. Wakaangalia kweli wakakuta, nikawaambia waangalie video za Usalama kama nilichukua pesa.

Nilizungushwa sana mpaka nikachoka nikaamua kuwapuuzia. Washenzi sana.
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Sina uhakika kama nchi za wenzetu kuna vitu kama hivi bila shaka ni hapa kwetu kwa akina pangu pakavu wanatuibia kwa sababu hatujui haki zetu,wanatupeleka kama ng'ombe ila siku wakiingia kwenye kumi nane zangu patakuwa hapatoshi.
Kwanini kadi isitolewa akarudishia mteja?
Badala yake mteja aingie gharama za kununua kadi mpya?
 
tatizo la wabongo ni kukremisha kua ile ni ATM CARD ndo tunapokosea kumbe ile ni DEBIT/CREDIT CARD
na matumizi yake ni zaidi ya kutoa 20.000 kwe ATM jifunzeni kununua bidhaaa kwa kutumia kadi zenu kama ni VISA, au MASTERCARD mbona watanzania tunajitahidi sana kusambaza hizi machine kwe migahawa,maduka,supermarket,
nadhan mapioneer ni EXIM BANK,BACLAYS BANK,EQUITY BANK..wengine kama CRDB BANK ,NMB BANK nao wanakuja kudos....kizuri wanakata 2.5%-3% yagharama ya bidhaa which sometimes is cheap than using an ATM
 
benki ni sehemu ya kupitishia fedha na si sehemu ya kuhifadhi pesa nunua aset zako achana na mabenki ni matapeli na wachawi wanazindika pesa zenu ndio maana uchawi hauibi benk
 
Achana na hii, mimi iliwahi kunipata hiki.

Nilienda kwenye atm za BMN, ili nikatoe fedha kutokana na ukweli kuwa atm ya BDRC haikuwa na fedha kwa wakati huo. Nilipofika, nikatia kadi na kuweka nyuli kisha kuchagua huduma ya kutoa pesa kama kawaida. Transaction ikafanyika kama kawaida, lakini fedha hazikutoka hata kidogo. Nikarudia mara ya pili kwa kudhania huenda ni mtandao unasumbua, ishu ikawa hivyo hivyo. Transaction inafanyika lakini pesa hazitoki.

Nikatoka pale, nikatoka pale nikatafuta mahala pengine. Kuangalia salio, kumbe taarifa zinaonyesha nimetoa pesa wakati sijapata chochote.

Kesho yake nikaamkia BMN, wakanambia niende kwenye benki yangu kupeleka taarifa. Kufika huko, narudishwa kule kule tena. Nikaenda kuwakomalia, waangalie transactions za siku husika za ATM. Wakaangalia kweli wakakuta, nikawaambia waangalie video za Usalama kama nilichukua pesa.

Nilizungushwa sana mpaka nikachoka nikaamua kuwapuuzia. Washenzi sana.
Duu, Pole sana ayse jamaa yangu, hii ndio Africa ya Mashabiki
 
Back
Top Bottom