Maana hasa ya kuweka password kwenye simu

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Salam ndugu zangu.

Kumekuwa na mazoea ya kuweka password kwenye simu na pia kuzima simu nyakati za usiku. Sanasana kwa wanandoa au wachumba.

Unakuta mtu kaweka pattern kwenye simu yake mpaka aibu.Unaogopa nini? Kama msafi kwann simu umeiwekeà ulinzi mkubwa hivyo?

Mtu umeoa/umeoa lakn bado tu unaweka password kwenye simu, kwann unamdanganya mwenzio?

Acha hizo,Mungu anakuona.
 
Mbona mimi hata kabla cjaoa wala kua na mchumba nilikua naweka pattern.
Sababu ni nyingi sana mfano:
Simu yangu ni kama laptop yangu ya pili,ina vitu vingi sana vya kiofisi ambavyo ni confidential,Ina mambo mengi binafsi ambayo haitakiwi mtu mwingine kufahamu isipokua my wife,licha ya hivyo smartphone now a days ni zaidi ya ofisi
 
Password kwenye simu ni kwa sababu ya usalama wa vitu vilivyopo kwenye simu ya muhusika. Smartphone inabeba vitu vingi Sana.
 
Naona tunapoendelea utasema tuwe tunatembea uchi kbsa tukiwa nyumbani na wenza wetu
 
Back
Top Bottom