dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,132
Mwanasayansi mtabiri Ray Kurzweil, amekuwa akifahamika kwa kutabiri matukio mbalimbali kuanzia miaka ya 1980's kipindi ambacho ulimwengu wa sasa ulionekana kama ni ulimwengu wa kufikirika
Mtabiri huyo aliweza kutabiri kuja kuwepo kwa magari yanayojiendesha bila kuhitaji dereva,miguu bandia kwa ajili ya vilema wa miguu (prosthetic legs),na wirelessly accessing information via the internet (WIFI) Na baadhi ya vitu vingine vya kiteknolojia ambavyo tunavishuhudia leo hii.
Utabiri wake wa sasa ni kuwa binadamu ataweza kuishi milele bila pasipo kufa na anafikiri utabiri wake utaanza kutokea mapema mwanzoni mwa mwaka 2029.
Mwandishi wa kitabu cha ''playboy'' David Hochman anafikiria kuwa Kurzweill ni nabii wa zama hizi za ulimwengu wa teknolija ila kwa upande mwingine watu wanamuona kama ni mwendawzimu
Kurzweill anaona kuwa ifikapo mwaka 2020's tutaanza kutumia nanobotos (Roboti mfano wa mdudu kama nyuki) kufanya kazi mbadala wa T Cell ndani ya mwili wa binadamu, Ambavyo vitakuwa na uwezo kupambana na magonjwa mbalimbali yanayoshambulia mwili wa binadamu hivyo vitasaidia kuongezea mwili kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali.
Pia Utakuwa na uwezo wa kuona mashambulizi yanayofanywa na T Cell (nanobots) na pia utakuwa na uwezo wa kupakua software mpya katika internet endapo kuna aina mpya ya virus ambavyo vitakuwa vimejitokeza ndani ya mwili ili kuwezesha nanobots ndani ya mwili kufanya mashambulia kuendana na aina hiyo mpya ya kirusi.
Hivyo viji roboti vidogo vitakuwa vinazungua ndani ya mwili wetu kwa ajili ya kupambana na magonjwa mbalimbali hivyo itasaidia kukuongezea uwezo wa kuishi kwa muda mrefu.
Pia anafikiria si tu nanobots wanaweza kusaidia mwanadamu kuishi milele bali pia kuna uchunguzi mwingine unafanywa kwaajili ya kuzui vipokeo vya fat insulin kuzifanya zishindwe kufanya kazi yake mwilini. Hivyo itamafanya binadamu hata kama akila chakula kingi hawawezi kupata unene wala kupata kisukari.
Pia anamalizia kwa kusema miaka ijayo au ulimwengu wa baadae utamwezesha binadamu ku hack mwili wake na hivyo kusaidia kumuongezea siku za kuishi
Source: thescienceexplorer.com
Share this: