Siku hizi simuelewi kabisa Mzee Mengi

runyaga

JF-Expert Member
Dec 23, 2013
523
241
Screenshot_20170316-150155.png
Screenshot_20170316-150141.png
Ndo anaanza kuonyesha rangi yake halisi?
 
Mnafiki sana (samahani) huyo anaishi kutegemeana na Mzingira akiona kundi la kuku weupe na yeye anakua mweupe.
 
Siku hizi ameacha kujipendekeza kwa Serikali ya JPM?

Kituo chake cha television cha Itv kinaelekea pabayaaa
 
Washa moto mzee,ni kama nchi inaenda bila ushauri,one man show,vururuvururu
 
Utawala we nyerere umerudi upya, siku zote ukiwa na njaa utawaza chakula tu. Tukishiba tunakuwa busy sana kwenye vijiwe vya siasa. Sasa yanatutokea puani. Kila mbongo anawaza hela tu sasa, kuanzia kina mengi hadi sisi kajamba nani.
 
Back
Top Bottom