Hakuna special thread

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,781
6,065
Hapa nitaweka zile "hakuna zote zilizokubaliwa kisheria

1. Hakuna kuvaa majoho kwa wahitimu wasio kuwa na shahada....

2. Hakuna kupanda madaraja wala uhamisho kwa watumishi Wa uma mpaka hapo itakapotangazwa tena.


3. Hakuna nyongeza za mishahara..


4. Hakuna field kwa wanafunzi Wa mwaka Wa kwanza..


5. Hakuna chakula cha msaada..by the way hakuna njaa..


6. Hakuna kukariri darasa kwa form two watakofeli..

7. Hakuna ajira kwa walimu Wa Sanaa..

8. Hakuna katiba mpya..


9. Hakuna mikutano ya kisiasa...

10. Hakuna kurundikana kwa vyeo..

11. Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!!

Naamini na wewe unaweza kutirirka hapa ukianzia na neno "hakuna"..
 
hakuna Shishia, changudoa, ombaomba na mashoga Dar.

Hakuna walimu kulipa nauli kwenye daladala

Hakuna uchafu jumamosi Daslam
 
Hakuna Diaspora kumiliki eneo Tanzania kiukweli hili tamko la lukuvi nililishangaa sana.
 
Back
Top Bottom