Nimeona ni vyema watanzania tukatambua hili. Mh rais kasema wazi yeye si mtu wa kuoneshwa njia, kushauriwa. Pia akasisitiza kwamba ukishamwambia kitu afanye ndo umeharibu kwani hatofanya. Sasa kwetu watanzania mwarobaini wa hili huu hapa. Yale yoote tunayopenda na kutamani raisi ayafanye basi kwa uwingi wetu na sauti moja tujifanye hatuyapendi na tukazane kuyanenea vibaya (rejeleeni insident ya Bashite) basi Kama ilivyo hulka yake ya kwenda kinyume na wananchi Raisi wetu mpendwa ataamua kuyafanya kwa haraka ndipo tutakuwa tumefanikiwa. Naomba kuwasilisha.[HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.