ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,552
Leo ni Siku ya mapumziko familia nyingi hutembeleana,wengine huenda mashamba,church,vikao na mengineo,ambapo usafiri binafsi hutumika sana
Nimesikia Kero kubwa leo baada ya kukosa umeme home toka asubuhi nikiwa njiani maeneo ya pale Veta mataa nimepigwa mkono,nikawaachia chao ili tu niwahi mizunguko sikutaka malumbano,njia ya morogoro eneo LA jangwani nikakuta kundi lingine wanasimamishwa wanaotoka upande Wa kariakoo.
Tuache usumbufu huo sasa hivi usiku ifikapo saa 5,6 usiku gari za abiria dalala mpaka uda zinakamatwa pale Shule ya Uhuru zikionekana kuchukua abiria,sasa Sisi tunarudi Late nyumbani tutasafiri vipi?Na ikumbukwe pia kuna katazo la Bodaboda kua mwisho wao Saa 5 usiku.
Kwa kweli tunaomba kamanda wetu Wa mkoa aangalie kero hizo tunataabika sana,ukisema utumie gari shida ukiacha upande daladala Nayo taabu.