Maji kukatwa bukoba, wananchi hatuna hatia.

kajuka

JF-Expert Member
May 9, 2013
600
226
Sasa imekuwa tatizo, usiku na mchana watu wanaangaika kutafuta maji. Suala hili liangaliwe kwa jicho la tatu, tunaoteseka ni sisi wananchi ambao kila mwezi tunalipia maji BUWASA. Hatujui hao BUWASA itawachua muda gani kulipia deni lao TANESCO na je, sisi wananchi tutateseka mpaka lini? Chonde chonde wahusika angalieni hili kwa umakini, sasa shughuli zote zimeachwa, watoto, akina mama, akina baba ni Maji.
 
Back
Top Bottom