Golden Age
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 203
- 45
Jamani naomba mnielekeze zilipo ofisi za Posta hapa Dar es Salaam, mi mgeni kutoka mkoani.
Sasa si ungesema posta gani? Au unataka posta yoyote?Nashukuru sana,nitaleta mrejesho,
Jamani naomba mnielekeze zilipo ofisi za Posta hapa Dar es Salaam, mi mgeni kutoka mkoani.
Acha kudanganya weyePosta ya tabata ipo kimanga
zipo nyingi, ila kama unaulizia posta...nenda ubungo panda mabasi ya mwendokasi yanayoshukia kivukoni then ulizia posta mpyaaJamani naomba mnielekeze zilipo ofisi za Posta hapa Dar es Salaam, mi mgeni kutoka mkoani.