Kudra N: Rais Magufuli ameota mapembe, hamsikilizi yeyote

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,229
23,917
Na kudra N.

Nimemfuatilia Magufuli toka anaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania hadi juzi. Amebadilika sana kisiasa na kimwili. Siyo yule wa November, 2015. Kimwili amezeeka haraka sana hata kimuonekano anamzidi Jakaya Mrisho Kikwete. Kwanini? Hili nitaliongelea muda ukifika.

Kisiasa unaweza kusema ameota mapembe, hamsikilizi yeyote awae! Ni kama amejiweka madarakani.Moyoni hana hofu yoyote, hamuogopi hata Mungu ndio maana hana huruma kwa mtu yeyote awe mwanafunzi, mtumishi wa umma, wana siasa wenzeke,raia yeyote , yeye anajali urais wake na namna ya kudumu katika
u Rais huo. Hachagui maneno! Liwe jema au baya hilo halimpi shida.

Watu wanaomuudhi sana ni wale wanao mkumbusha uwepo wa KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO.Ni kama anatamani kuifuta. Kwake yeye KATIBA inamchelewesha kufika anako taka japo siyo kwa masilahi ya Nchi.

Anatamani matumizi ya fedha apange yeye wapi zikatumike.Mambo ya Bunge anaona yanamchelewesha tu bila sababu.Ndio maana ana weza kwenda mahali katika ziara zake akaahidi kuwa pelekea hata shs bilioni 5 ambazo Bunge halija pitisha.

Kitendo cha kumlinda Makonda kwa sababu yoyote ili ni dalili za kulewa madaraka. Lakini 2020 atarudi tena kutuomba kura. Hapo ndio atajua yeye hana u Mungu wowote, ni bora angekuwa mnyenyekevu kwa watu. radio ,magazeti na Tv zote hazitakuwa upande wake.
 
Na kudra N.
Nimemfuatilia Magufuli toka
anaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri
ya Tanzania hadi juzi. Amebadilika
sana kisiasa na kimwili. Siyo yule
wa November, 2015.kimwili
amezeeka haraka sana hata
kimuonekano anamzidi Jakaya
Mrisho Kikwete. Kwanini? Hili
nitaliongelea muda ukifika.
Kisiasa unaweza kusema ameota
mapembe, hamsikilizi yeyote
awae! Ni kama amejiweka
madarakani.Moyoni hana hofu
yoyote, hamuogopi hata Mungu an
ndio maana hana huruma kwa mtu
yeyote awe mwanafunzi, mtumishi
wa umma, wana siasa wenzeke,
raia yeyote , yeye anajali urais
wake na namna ya kudumu katika
u Rais huo. Hachagui maneno!
Liwe jema au baya hilo halimpi
shida.
Watu wanao muudhi sana ni wale
wanao mkumbusha uwepo wa
KATIBA YA JAMHURI YA
MUUNGANO.Ni kama anatamani
kuifuta.kwake yeye KATIBA
inamchelewesha kufika anako taka
japo siyo kwa masilahi ya Nchi.
Anatamani matumizi ya fedha
apange yeye wapi
zikatumike.Mambo ya Bunge
anaona yanamchelewesha tu bila
sababu.ndio maana ana weza
kwenda mahali katika ziara zake
akaahidi kuwa pelekea hata shs
bilioni 5 ambazo Bunge halija
pitisha.
Kitendo cha kumlinda Makonda
kwa sababu yoyote ili ni dalili za
kulewa madaraka. Lakini 2020
atarudi tena kutuomba kura. Hapo
ndio atajua yeye hana u Mungu
wowote, ni bora angekuwa
mnyenyekevu kwa watu. radio ,
magazeti na Tv zote hazitakuwa
upande wake.
Asante mkuu binafsi nimekuelewa msg sent
 
Na kudra N.
Nimemfuatilia Magufuli toka
anaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri
ya Tanzania hadi juzi. Amebadilika
sana kisiasa na kimwili. Siyo yule
wa November, 2015.kimwili
amezeeka haraka sana hata
kimuonekano anamzidi Jakaya
Mrisho Kikwete. Kwanini? Hili
nitaliongelea muda ukifika.
Kisiasa unaweza kusema ameota
mapembe, hamsikilizi yeyote
awae! Ni kama amejiweka
madarakani.Moyoni hana hofu
yoyote, hamuogopi hata Mungu an
ndio maana hana huruma kwa mtu
yeyote awe mwanafunzi, mtumishi
wa umma, wana siasa wenzeke,
raia yeyote , yeye anajali urais
wake na namna ya kudumu katika
u Rais huo. Hachagui maneno!
Liwe jema au baya hilo halimpi
shida.
Watu wanao muudhi sana ni wale
wanao mkumbusha uwepo wa
KATIBA YA JAMHURI YA
MUUNGANO.Ni kama anatamani
kuifuta.kwake yeye KATIBA
inamchelewesha kufika anako taka
japo siyo kwa masilahi ya Nchi.
Anatamani matumizi ya fedha
apange yeye wapi
zikatumike.Mambo ya Bunge
anaona yanamchelewesha tu bila
sababu.ndio maana ana weza
kwenda mahali katika ziara zake
akaahidi kuwa pelekea hata shs
bilioni 5 ambazo Bunge halija
pitisha.
Kitendo cha kumlinda Makonda
kwa sababu yoyote ili ni dalili za
kulewa madaraka. Lakini 2020
atarudi tena kutuomba kura. Hapo
ndio atajua yeye hana u Mungu
wowote, ni bora angekuwa
mnyenyekevu kwa watu. radio ,
magazeti na Tv zote hazitakuwa
upande wake.
Asante mkuu binafsi nimekuelewa msg sent
 
Na kudra N.
Nimemfuatilia Magufuli toka
anaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri
ya Tanzania hadi juzi. Amebadilika
sana kisiasa na kimwili. Siyo yule
wa November, 2015.kimwili
amezeeka haraka sana hata
kimuonekano anamzidi Jakaya
Mrisho Kikwete. Kwanini? Hili
nitaliongelea muda ukifika.
Kisiasa unaweza kusema ameota
mapembe, hamsikilizi yeyote
awae! Ni kama amejiweka
madarakani.Moyoni hana hofu
yoyote, hamuogopi hata Mungu an
ndio maana hana huruma kwa mtu
yeyote awe mwanafunzi, mtumishi
wa umma, wana siasa wenzeke,
raia yeyote , yeye anajali urais
wake na namna ya kudumu katika
u Rais huo. Hachagui maneno!
Liwe jema au baya hilo halimpi
shida.
Watu wanao muudhi sana ni wale
wanao mkumbusha uwepo wa
KATIBA YA JAMHURI YA
MUUNGANO.Ni kama anatamani
kuifuta.kwake yeye KATIBA
inamchelewesha kufika anako taka
japo siyo kwa masilahi ya Nchi.
Anatamani matumizi ya fedha
apange yeye wapi
zikatumike.Mambo ya Bunge
anaona yanamchelewesha tu bila
sababu.ndio maana ana weza
kwenda mahali katika ziara zake
akaahidi kuwa pelekea hata shs
bilioni 5 ambazo Bunge halija
pitisha.
Kitendo cha kumlinda Makonda
kwa sababu yoyote ili ni dalili za
kulewa madaraka. Lakini 2020
atarudi tena kutuomba kura. Hapo
ndio atajua yeye hana u Mungu
wowote, ni bora angekuwa
mnyenyekevu kwa watu. radio ,
magazeti na Tv zote hazitakuwa
upande wake.
Duhhhh mbna shidah cx
 
Eti Rais wa wanyonge ? Unafiki tu kwani hawa ni kina nani
1.Aliwatimua watoto wa maskini UDOM kumbe mwanawe alisoma pale kwa kuungaunga kama wale watoto wa wanyonge
2.Alivunja na anaendelea kuvunja nyumba na makazi ya wanyonge bila ya kuwepo muendelezo wa miradi yoyote.
3.Watumishi wa umma wanyonge wamefukuzwa kazi sababu ya vyeti wakati anamlinda Bashite kwa nguvu zote.
4. Amewaondoa katika ajira watoto wa wanyonge ambao walishapewa hadi barua za uajiri.
5.Kawanyima mikopo watoto wa wanyonge kwa vizingizio dhaifu
6.Kabana mzunguuko wa fedha kwa kujua anawakomoa matajiri kumbe wanaoumia ni wanyonge walioajiriwa na hao matajari
7.Aliwanyima misaada ya majanga wanyonge wa Bukoba ambayo walichangiwa na wananchi na wahisani kwa sababu zisizo na mashiko. Ndio maana wafadhali walikacha kuchangia bajeti baada ya kuona ubabaishaji ule

N.k
 
Eti Rais wa wanyonge ? Unafiki tu kwani hawa ni kina nani
1.Aliwatimua watoto wa maskini UDOM kumbe mwanawe alisoma pale kwa kuungaunga kama wale watoto wa wanyonge
2.Alivunja na anaendelea kuvunja nyumba na makazi ya wanyonge bila ya kuwepo muendelezo wa miradi yoyote.
3.Watumishi wa umma wanyonge wamefukuzwa kazi sababu ya vyeti wakati anamlinda Bashite kwa nguvu zote.
4. Amewaondoa katika ajira watoto wa wanyonge ambao walishapewa hadi barua za uajiri.
5.Kawanyima mikopo watoto wa wanyonge kwa vizingizio dhaifu
6.Kabana mzunguuko wa fedha kwa kujua anawakomoa matajiri kumbe wanaoumia ni wanyonge walioajiriwa na hao matajar

N.k
***
HAO wahindi na matajiri wanaobanwa ndio wameajiri wanyonge wa NCHI hii.
 
Kweli asee jamaa mmbishiiii na hasikilizi mtu....! Jamaa mbishi bhana usiambiwe, jamaa mjuaji huyo..!wazee wanamwangalia wanajua muda si mrefu atanondokea pua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom