Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za muda huu wadau? Napenda kuwaleteen japo kidogo taarifa fupi kuhusu maendeleo katika wilaya yetu ya msalala na kijiji cha kakola. Licha ya kuwa ni wilaya yenye uwekezaji mkubwa katika...
2 Reactions
66 Replies
10K Views
Ni kwa muda mrefu sasa hili swala la ulipaji wa road licence kwa hivi vyombo vya moto unanikatisha tamaa. Unakuta mteja unadaiwa deni la zaidi ya mwaka na unajikuta uwezo wako ktk ulipaji wa hilo...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Nipo mbali na office za TRA nimeona ni vizuri nikafanya malipo kwa njia ya m pesa kupitia option ya REGISTER T....DTU kwenda 15341, lakini kila nikituma sms kwenda namba hiyo sipati reference...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa mufa mrefu kada ya ualimu imeonekana kama wito(kazi ya kitume).malipo kidogo Mazingira duni ya kufamhia kazi.hata kupamda cheo imekua mtihani.wadau wa elimu,kada ya uu ndio source ya maendelea...
0 Reactions
1 Replies
825 Views
10. HardForum.com [$26,820 monthly] — Number 10 in this list of top ten biggest forum websites in the world is Hard Forum. With over 14 million posts and more than 180,000 registered members, Hard...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Juzi nilimwazima mwenzangu pikipiki aende akapate chakula mgahawani,ile pikipiki ilikua haijalipiwa bima.Alipofika yule jamaa yangu akapaki nje kidogo ya mgahawa,karibu na kituo cha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Waziri wa viwanda, tafadhali fuatilia kujua kuna shida gani katika uzalishaji wa maziwa katika kiwanda cha Tanga fresh.... Kiwanda hiki kilikuwa na faida kubwa kwa walaji wa bidhaa hii na pia kwa...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu.. Kuna kauli inasema "kuliko mtu kutudanganya kuwa trump kamsifia magufuli, Ni heri mngetudanganya kuwa nyerere alimtokea magufuli juzi usiku akampongeza kwa uchapakazi wake"...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Niliamua kuacha kuandika lolote humu (ingawa nina mambo mengi ya kusema kwa faida ya wengi) kwa sababu maoni yangu kila wakati yanafutwa ingawa sijawahi kumtukana mtu wala kusema jambo lolote ovu...
0 Reactions
4 Replies
698 Views
Serikali imesema inatarajia kutangaza Ajira mpya za Madaktari kuanzia Mwezi Mei mwaka huu na kuwasambaza maeneo mbalimbali yenye uhitaji. Ahadi hiyo ilitolewa na Waziri Angela Kairuki akiwa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Mambo muhimu matatu wabunge bila kujali itikadi za vyama vya siasa wanatakiwa kuyaanza kuyafanyia kazi baada ya bunge kuanza. 1) Wapeleke mapendekezo bungeni kwenye katiba kiwepo kifungu...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi binafsi nakubaliana na Mhe. Magufuli kuhusiana na mchanga wa dhahabu unaosafirishwa nje ya nchi. Tunaelezwa kuwa concentrates iliyomo ndani ya mchanga huo ni 0.02 % ya madini mbalimbali ambao...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Nina ishi kigamboni mara nyingi nimekuwa napenda kufanyia mazoezi jioni eneo la daraja,ninacho kiona kila leo kukicha kina kela JKT wanao husika na ulinzi pale wamekuwa ni kelo kwa wana nchi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mimi binafsi nasikitishwa na hii biashara waliopewa wachina, ya kuchinja punda na kusafirisha nyama yao kwenda China. Wengi tunafahamu kwamba wanyama hao ni msaada sana kwa kina...
3 Reactions
48 Replies
6K Views
Huu uhakiki wa namba ya utambulisho wa mlipa kodi TIN umekuwa kero kwa watu kushinda ofisi ya TRA Arusha bila kufanya kazi nyingine kwa siku nzima. Nawashauri hawa watumishi wetu wa TRA ambao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Meneja wa SIDO Mkoa wa Mtwara Joel Chidabwa Akizungumza Machache wakati Akizindua Rasmi mafunzo ya Ujasiriamali kwa Wanawake wa Mkoa Mtwara akiwa wa Wawezeshaji kutoka Taasisi Ya Manjano...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) limewaonya wote wanaotumia kazi zilizopigwa marufuku kuwa ni ukiukwaji wa sheria za nchi na wote wanaotumia kazi zilizopigwa Marufuku, hatua kali zitachukuliwa...
0 Reactions
87 Replies
12K Views
Leo saa sita na nusu mchana huu hapa njiapanda ya segerea polisi wa usalama barabarani wamewashusha abira kwenye basi na kulikamata hilo basi, hao abiria wametokea Tandika na wakiwa wanaomba...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu, Tabora wanapanda miti katika kampeni aliyoizindua mkuu wa mkoa, ni jambo jema ila nionavo mie zoezi hili lingepanuliwa zaidi kwa kupanda miti kule kunakopatikana mkaa. Wengi hivi sasa...
1 Reactions
0 Replies
859 Views
Back
Top Bottom