Picha za watuhumiwa wa ugaidi huko Arusha

Naona Isidingo ya ugaidi imerudi tena!!

Kule Amboni-Tanga wiki nzima kulirindima mapangoni,baadae wakatuonyesha bunduki ya SMG na mabaki ya nyama ya tumbiri-eti magaidi yamekimbilia Mambatha!!
 
Niliwaambia litaibuka la kuibuka kufunika issue ya Daudi..

Imekuja ishu ya wa mitego na sasa ugaidi..

Bashite ataendelea kutawala.
 
Shida kubwa zaidi ni hii hali ya watu kukaa rumande kwa miaka minne huku wakingojea upelelezi ukamilike. Justice delayed is justice denied!
Mkuu hao wanao kaa rumande!
Waulizieni wale wa amboni Kama utampata hata mmoja aliye hai!!
 
Back
Top Bottom