Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,705
Habarini ndugu zangu:
Hapa juzi kati katika vyombo vyetu vya habari kulitawaliwa na vichwa vya habari tofauti tofauti vyenye kuhabarisha kuhusu ripoti ya tafiti iliyofanywa huko roman kubaini hali ya furaha kwa raia wa mataifa tofauti tofauti hapa duniani. Katika hali isiyokuwa ya kawaida ila ya kutarajiwa,tanzania kama kawaida yetu kushika namba za mwisho tulikuwa katika namba 149 karibia na majirani zetu Rwanda, Burundi, Afghanistan na wengineo wasiojielewa.
Lengo la uzi huu sio uchochezi maana mimi sio mwanaharakati hewa wa maendeleo na mzuka wangu upo fueled kwa hisani ya uzalendo wadamu na moyo wa mapenzi ya dhati kwa taifa na jamii yangu na nipo hapa kudadavua ni kwanini tupo katika hiyo hali na pengine kupitia michango yenu wadau tutaweza jua nini kifanyike kuanzia leo ili na sisi japo hata wajukuu zetu miaka ijayo watakapofanyiwa tafiti basi wawepo kwenye kumi bora kama sio tano bora.
Nilishawahi kuzungumza na mwalimu(level ya dokta) wa chuo kimoja pale mjini Moshi kwa kumuhoji faida na hasara za kuwa na idadi kubwa ya watu katika taifa katika kubaini uhusiano wake na furaha ya raia ndani ya taifa. Kiukweli yule mwalimu alinifafanulia vema sana faida ya kuwa na watu wengi na kunipa matokeo ya kuwapo kwa hiyo idadi kubwa ya watu itahusisha kuwapo nguvukazi ya kutosha katika kufanya kazi, serikali kupata mapato mengi kupitia kodi na matumizi sahihi ya rasilimali kwamba rasili mali katika nchi zitaweza kutumika ipasavyo na si kuziacha zikapotea na sababu kadhaa nyinginezo.
Katika kuyasikia haya nikahoji na je ni vipi idadi dongo ya watu ambapo mwalimu alinipa majibu lakinin kwa kutazamia disadvantages ama hasara zaidi. Kiukweli sikukuridhiika na upande wa pili wa majibu yanayohusu uchuchache wa watu katika taifa. Hadi leo hii bado najihoji na nikaona itakuwa bora zaidi huu mjadala nikiwashirikisha watanzania wenzangu tujadili hili swala.
Kwa mchango wangu mimi nadhani furaha ya raia in uhusiano wa moja kwa moja na idadi yao kwa maana ya wao kuwa wachache basi na furaha itakuwa kubwa. Hebu tudadisi sote, kwamfano tanzania hii ya leo ingekuwa na raia wasiozidi 70,000 kila mkoa.
Halafu serikali ingekuwa imewekeza vizuri sana katika sekta kama uvuvi, kilimo, viwanda vidogo katika kila mkoa vya kutengeneza bidhaa, uwekezaji wa utalii katika hali ya juu ya technolojia ya mawasiliano na miundo mbinu,usimamizi mzuri na wa hali ya juu wa misitu na maliasili, sheria za kisasa ambazo zimefanyiwa tafiti na kuboreshwa kulingana na mazingira halisi ya watanzania,
Sheria ya kikomo cha kupata watoto kwa maana watoto wasizidi wawili kwa kila couple, lakini pia rasilimali zisizohuishwa (non-renewable resources) kama gesi, mafuta, madini na mawe ya thamani kutouzwa nje kiholela kama malighafi ila zifanyiwe processingi na wateja hapa hapa tanzania na kidogo kuuzwa nje wakati tukifanya vizuri katika exports ya mazao kama mboga mboga na matunda lakini pia bidhaa kama korosho ziwe tayari packed na branded tayari kwa matumizi ya mwisho.
Lakini mwisho kabisa serikali kuweka sheria kali za kiuhamiaji kwa maana watu watakaoingia nchini kwetu kwaajiri ya kutafuta ajira maeneo kama katika viwanda wawe na sheria maalumu na si kuja kujichanganya changanya na raia na kuleta mazoea lakini pia mtu akitaka uraia kusiwe na uraia wa kupewa tu kiholela yaani mfano anakuja mkenya bongo uraia kuupata uwe ni mchakato wa miaka isiyopungua 15 au zaidi ili commitment yake katika uzalendo wa taifa ionekane na hata akipata usiwe uraia kamili kama wa wakwangu ama wa kwako kwa maana asili yake si hapa apewe uraia wenye limitation kwenye baadhi ya maeneo maana wasije watu kama waarabu wakaja hapa wakaanza kutusilimisha utadhani sisi waarabu wenzao.
Katika hali kama hiyo hapo juu ninauhakika watanzania watapata yafuatayo. Kwanza ajira haitakuwa tatizo kabisa, serikali itakuwa na idadi ndogo ya watu wa kuwahudumia mfano katika sekta ya afya kukiwa katika kila watu 10 wanne ni madokta unaweza kujionea ni jinsi gani hospitali zitafanya marketing kutafuta wagonjwa,
serikali kupitia mapato yake itaweza kuwa na salio kubwa hazina na kuweza kumudu hata kuwapatia raia wake posho ya kila mwezi mfano 300,000/= kama gawio la mapato kwa raia wake, raia watakuwa hawana msongo wa mawazo kwa maana serikali itaweza kumudu kuwasupport kwa zaidi ya asilimia 80% katika gharama za maisha.
Raia wataweza kumudu kusafiri mataifa ya nje na kutalii lakini pia, watakuwa na buying power kubwa sana so wataweza mudu kununua vitu kama simu za bei, magari, televisheni na vitu vingine vya ndani, serikali itaweza kumudu kwa urahisi kabisa kujenga majengo ya makazi kwa maana ya apartments kwaajiri ya raia wake na humu watakaa maisha yao yote hadi uzee na kifo, elimu itabadirika kutoka hii ya vyeti ili kupata kazi hadi ile ya kupata wataalamu wa kusolve changamoto za jamii kwa kiwango cha ubora wa hali ya juu,
migogoro ya kisiasa itakuwa inaonekana kwenye taarifa ya habari maana raia wameridhika na maisha ya furaha na hawana shida na wapinzani maana serikali haina shida ya kubishaniwa, hakutakuwa nahaja ya kuwa na vyama vingi maana ni wastage ya muda na pesa ila kutakuwa na taasisi za usimamizi tu wa masilahi ya raia, nyumba za ibada hazitakuwa sehemu za mijadala ya chuki au utapeli bali itakuwa ni sehemu ya waatu wenye furaha kwenda kusikia neno la MUNGU na kusepa nyumbani bila kutoa sijui fungu la kumi au kulia lia tu kama vilaza na hizi nyumba za ibada zitakuwa chache sana si misikiti wala si makanisa kwasababu watu wenye furaha wanajua MUNGU anapatikana ndani yao sio mikusanyiko ya kisanii kama tuliyonayo hii.
Hiyo ni picha ndogo sana ya ukweli ambao watanzania wa sasa kwao ni ndoto tu kuja kuuishi kwa maana maisha sisi tunayachukulia kimzaha mzaha na ndio maana ni kuteseka toka kuzaliwa hadi uzee.