Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wadau napata imani kubwa kuwa dua aliloombewa Bw.Makonda na Mashehe wa DSM huenda ndilo linalomlinda asitumbuliwe licha ya kufanya matukio yasiyo ya kawaida Kwa kiongozi wa serikali.Naamini angekuwa MTU mwingine sasa hivi angekuwa Mahakama Kuu au kizuizini Kwa utawala huu.