Hivi nikifanikiwa kugusa mbingu nitakuta ni ya aina gani

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,973
27,209
Katika uumbaji wa mungu vipo vinavyoonekana karibu hadi tunaiga na kuumba na sisi binadamu lakini katika muonekano wa mbingu nikiangalia sana nashindwa kuelewa kuwa mungu aliyumia materials gani,,namaanisha kuwa mbingu tunayoiona huwa niya aina gani,yaani ni ngozi au zege au kitambaa au leizer au plastic au playwood au ni nylon,,wajuvi maomba mnitoe tongotongo
 
Dah swali tu sijalielewa. . .
Mbingu gani unayoiongelea. . .
Kiimani, "ya bible"
Au kisayansi. . ."sky"/ and beyond
 
Ya aina ya mbingu hyo utakayo ikuta,Kuna ambavyo hata ufikikilie hupati jibu,kama kabla ya dunia,kulikuwa nanii, mungu asili yake nini huwezi pata jibu
 
kwanza hakuna mbingu physical kama mnavyofunshwa sunday school, ile rangi ya blue unayoona ni mwisho wa uwezo wa macho kuona kumbuka pia ulimwengun hakuna juu wala. chin so hakuna juu mbinguni
Kwa hiyo mkuu mbingu ni nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom