Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,540
- 729,353
Kama kuna mtu anajua kukata stimu watu basi Bob ni Yoko.... Kwa amri ya mkulu Ney wa Mitego yuko huru... Sababu ni moja tu jamii haikusimama naye na si maudhui ya wimbo husika.... kuna wakati naona ni Kama tunaishi katika nchi ya kufikirika. ...ile ya wagagagigikoko....
Ishu ya bashite from kolomoje imeondoka na wengi....Nape Nnauye ni mfano wa wazi
Criticism za Wimbo ule zilikuwa nyingi binafsi nina post kuuhusu.... Maajabu ya karne mkulu Bob amesema dogo aachiwe huru kisha aongezee vina na mistari.... Jesus Christ on the cross KWELI HAPANGIWI......!!!!
Waliomkamata Ney wanajisikiaje? AMAZING VERY VERY