Magazeti ya Kesho 30/03/2017 na Makonda.

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
18,402
16,405
Huyu jamaa kaitwa kwenye tume ya maadili Ya Bunge.
Ni kweli magazeti hayataitoa hii taarifa kesho?

Ndiyo tupime vyombo vyetu vya habari vikoje na misimamo yao.
 
c296ed871c2d2abfce8238f6c78a3d99.jpg
 
hata hao wengne wako sawa! waliposema hawataandika habari za makonda ni zile za kutafuta kiki, ila za kumwaibisha lazma wataandika tu kama hzo za leo!
 
Back
Top Bottom