Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,501
- 119,448
Kwa sasa bongo wallpaper ndo habari ya mjini ikija kwenye kuweka nakshi za ndani katika nyumba.
Nakumbuka zamani hata watu walio wengi walikuwa hawazijui. Lakini sasa hivi kila sehemu ni wallpaper...wallpaper...wallpaper tu!
Huko majuu watu walishaacha zamani kuziweka kwenye nyumba zao.
Katika house hunting zote nilizofanya sijakutana na nyumba yenye wallpaper.
Ila kwa bongo sasa hivi usipokuwa na wallpaper au usipokuwa na mpango wa kuweka basi we ni mshamba.
Sasa nataka kujua ni lini hasa watu wameanza kuziweka majumbani mwao hapa bongo?