Mwenye ujuzi na Propeller Ads

mhemeavisogo

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
343
195
Habari wana jamvi,

Naomba nifahamishwe kuhusu hii system ya Propeller Ads. Ufanyaji wake wa kazi, malipo jinsi ya kulipwa(unalipwaje) na nikitaka kuwa hiyo system ya propeller kwa hapa Dar ni wapi nitapata. Kwa kumalizia ni zipi changamoto zake.

Ahsanteni sana, nawaomba kufahamishwa.
 
hiyo ni huduma ya matangazo kama ilivyo google adsense, kwamba unakuwa na blog au website kisha unaweka hayo matangazo, na unakuwa unalipwa kwa kila mtu atakaye bonyeza matangazo, kwa mahitaji ya blog ama website pamoja na hayo matangazo tafadhali nichek kupitia 0743497079
 
Back
Top Bottom