Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Wakuu wa nchi how's going today,
Nilikuwa TRA leo kukadiriwa kulipa kodi, wakanikadiria mara nne ya hela niliyolipa mwaka jana. Sasa biashara yangu ni ndogo sana na iko nje ya Manispaa, nikawaambia sitaweza, wakasema andika barua, sasa hiyo barua nitaiandikaje wakuu zangu. Kama kuna mtu alishawaandika barua inayohusu tatizo kama langu please naombeni msaada wenu kama hamtojali wakuu wangu wa nchi.
Mnaweza kunitumia sms via private sms please.
God bless you Guys, and have a great night .