Ripoti: Tanzania yaongoza Afrika kwa kupokea wageni wengi zaidi kwa njia ya anga

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,067
Tanzania imechangia asilimia 19.3 ya jumla ya wageni wa kimataifa kupitia anga (international air arrivals) ukilinganisha na asilimia 18.2 ya Kenya, asilimia 17.2 Misri na asilimia 12.1 ya Afrika Kusini katika kipindi cha kuanzia September 2016 hadi January 2017.

Takwimu hizi ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya shirika la ufuatiliaji wa masuala usafiri wa ndege, ForwardKeys ambayo hulinganisha ukataji tiketi za ndege zaidi ya milioni 16 kila siku ili kuiweka Afrika kwenye ramani ya utalii duniani.

Kwa jumla, Afrika Mashariki ina asimilia 16.4 ya ufikaji wa wageni kwa njia ya anga. Na kwa ujumla pia, kuna ongezeko la asilimia 10.3 ya ufikaji wageni Afrika.

Tupate habari kamili..
-----------

Tanzania is Africa’s Leading Destination for International Air Arrivals – ForwardKeys Report

Tanzania contributed 19.3 per cent of the total international air arrivals on the continent as compared to Kenya’s 18.2 per cent, Egypt’s 17.2 per cent and South Africa’s 12.1 per cent for the period September 2016 to January 2017.

This is according to a new report by flight monitoring company ForwardKeys which compares flight reservation data from over 16 million transactions per day to position African destinations on the global tourism map.

Ethiopia registered a notable drop of 4.0 per cent owing to a decrease in intra-Africa international arrivals. The country also saw a drop in tourists from Europe and Middle East compared to the same period last year.

Regionally, arrivals in the East African Community (EAC) countries were up by 16.4 per cent though the report cites the inadequate provision of long-haul connectivity as a challenge in the region. Kigali was the only regional capital city to record double-digit growth in international capacity for both long-haul and intra-Africa routes.

As a whole, Africa recorded a 10.3 per cent increase in international arrivals.

Estelle Verdier, the Managing Director of hotel booking site Jumia Travel which also recently introduced flight booking services said the ForwardKeys report reflects the continent’s potential for increased growth in air traffic which is proportionate to growth in tourism.

Visa waiver by Morocco; reviewed restrictions by South Africa; and direct flights to Kenya were some of the factors that contributed to Asia Pacific’s 21.7 per cent growth in international arrivals.

ForwardKeys reveals a 17.3 per cent growth in forward international bookings across the continent for the first half of 2017 with the Easter period poised to record a 53.1 per cent increase in total arrivals followed by June with a 26.4 per cent increase.
 
4935ecd967790e8cc1acf46601252852.jpg
yaani nyie taarifa zenu ni hasi tu, hakuna njema hata moja, hiyo breaking news yako haieleweki source yake,
 
Tomaso wewe mpaka yakukute ndiyo utaamini,uliona wapi serkali inahodhi shughuliza biashara hayo yaalipita.
 
Sasa kama imeongoza kwa nini watanzania hawana furaha?
Na je imeleta unafuu gani kwenye uchumi wa Tanzani na mwananchi wa kawaida?
 
Jana nilikuwa Buguruni Rozana. Kwa idadi ya ndege zilizokuwa zinakatiza pale zikienda kutua airport kwa kile kipindi cha nusu saaa, ninaamini kabisa kuwa riport hii inaweza ikawa inasema kweli...
 
Dah laiti tungekua tumeimarisha shirika letu la ndege tungekua mbali sana
 
Hao wageni wameigiza faida kiasi gani maana wingi wao sio tija tija how benefit they get us National
 
Hii thread sizani kama itapata wachangiaji wengi, kwani watanzania tunapenda kusikia mabaya tu na hasa wapinzani, alafu nao wanajiita wazalendo, kutwa wanatangaza mabaya.
 
Tanzania imechangia asilimia 19.3 ya jumla ya wageni wa kimataifa kupitia anga (international air arrivals) ukilinganisha na asilimia 18.2 ya Kenya, asilimia 17.2 Misri na asilimia 12.1 ya Afrika Kusini katika kipindi cha kuanzia September 2016 hadi January 2017.

Julius_Nyerere_International_Airport.jpg


Takwimu hizi ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya shirika la ufuatiliaji wa masuala usafiri wa ndege, ForwardKeys ambayo hulinganisha ukataji tiketi za ndege zaidi ya milioni 16 kila siku ili kuiweka Afrika kwenye ramani ya utalii duniani.

Kwa jumla, Afrika Mashariki ina asimilia 16.4 ya ufikaji wa wageni kwa njia ya anga. Na kwa ujumla pia, kuna ongezeko la asilimia 10.3 ya ufikaji wageni Afrika.

Source: http://footprint2africa.com/tanzani...nternational-air-arrivals-forwardkeys-report/
 
Tanzania ina watu wengi wako nje ndio sababu ya kupata pasenti kubwa ya passengers.
 
Back
Top Bottom