NANI alipambana vizuri na ugaidi, BUSH au SADDAM.

Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,067
2,197
Mmoja amekuja anajisifu kuwa ni "war President" ambaye ameapa ku root out terrorism, mwingine aliongoza nchi kwa iron fist lakini alihukumiwa kinyongo baada ya kukutwa na hatia ya kuua watu 165. Nani kati ya hawa wawili alipambana vizuri na magaidi?
 
None of the above wote magaidi tuu wanachotofautiana ni the way walifanya ugaidi wao na mwingine afanyavyo ugaidi wake....
 
Lakini kati ya wote hao naona mwenye record nzuri zaidi ni Saddam Hussein ambaye wakati wa utawala wake magaidi walikuwa wanaogopa kukanyaga Iraq, lakini baada ya yeye kufa na Wamarekana kuingia sasa hivi Iraq imekuwa ni haven na breeding ground ya Magaidi.
 
Back
Top Bottom