civil issues
New Member
- Mar 28, 2017
- 2
- 1
Habari zenu wanajukwaa(great thinkers),
Mimi ni mwanafunzi wa idara ya uhandisi ujenzi(civil engineering), nikishirikiana na wanafunzi wenzangu tungependa kuwasaidia watanzania wenzetu kuhusiana na masuala ya ujenzi.
Huduma ambazo tunazitoa ni za ujenzi wa nyumba za chini(sio maghorofa).
huduma zitolewazo ni
1. Ushauri
2. Uchoraji ramani(bei ni 100000-250000)kulingana na ukubwa na complication za nyumba.
3. Kama una ramani na ungependa uone muonekano wake ikikamilika(3d view) bei itakuwa itakuwa (30000-100000)
4. Pia ukitaka makadirio ya materials (ie tofali, bati nk) bei itakuwa ( 30000-150000) kulingana na ukubwa wa project
kama una eneo lako na ungependa muonekano wa mpangilio wa vitu utakavyoviweka pia inawezekana.
kwa mawasiliano zaidi njoo PM au email: civilissues17@gmail.com
uzi huu ni mahususi kwa watu wapenda ujenzi wa kisasa hivyo ruksa kupeana ushauri mzuri wa ujenzi ulio na lengo la kumsaidia mtu na sio matusi na kejeli kwa mtu yeyote.
kama una doubt waweza uliza tukapeana maelezo zaidi.(tupo hapa kujenga na si kulumbana)
nyote karibuni..