ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Kama vile ulivyotoa kauli yako na kuzifunga ajira mpya kwa muda wa miezi miwili hadi mitatu tangu mwaka jana mwezi wa sita
Ni muda sasa tunakaribia kuufikia mwaka tangu uzifunge ajira
Tupe kauli yako rasmi kuhusu ajira hizi kwa kada zote, maana ulizifunga kwa tamko rasmi na barua zilisambazwa nchini kote zikizuia waajiri kutoa nafasi mpya ili kupisha uhakiki
Sasa siasa zimefikia mwisho, tupe kauli yako tena kwa barua rasmi toka ofisi yako kufungua au kufungia jumla ajira mpya na hazitakuwepo kabsa!
Kauli yako ni muhimu, toka uiseme hadharani kama ile uliyoitoa siku unafunga ajira mpya