georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Kuna utapeli umeenea sasa hivi Dar wa watu wanaodai wamepata wafadhili kwenye mradi wa kusaidia watoto wenye mtindio wa ubongo au wanasema wana shamba darasa wamefungu huko Lindi, wanataka kutumiwa dollars 10 million wanahitaji mtu mwenye account yenye mzunguko pia yenye kuwa na Dollar 50,000= kama dhamana huu ni utapeli hakuna pesa hapo kaa mbali.