Thamani ya fedha kwenye mtikisiko wa Uchumi/kushuka thamani

supercharger GT

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
1,012
1,955
Habari zenu wakuu! Wenye uelewa na jambo hili naomba watufundishe wengine ambao hatujui, najua itakuwa chakula cha wengi hapa....

Ni hivi, inakuwaje pale mtu unapokuwa umeweka fedha zako nyingi sana bank halafu ukaondoka kwenda nje ya nchi labda masomo au mambo mengine, nikisema fedha nyingi namaanisha labda million 300 hivi au zaidi! Halafu bahati mbaya nchi ikaporomoka vibaya kiuchumi kama ilivotokea kwa Zimbabwe au Burundi vile, sasa swali lenyewe ni kwamba zile pesa ulizoacha benki zikiwa na thamani ya TZS 300Million ukirudi itakuwa ndo imekula kwako au utapata figure nyingne yenye thamani sawa na ile uloacha?

Nawasilisha wakuu, naombeni majibu, yatasaidia coz hatuelewi panapoelekea na mpango huo upo!!

Au kama kuna njia nyingne ya kuzitunza tofauti na biashara pia tujuzane

Asanteni
 
Back
Top Bottom