Nahisi Tigo wanaiba muda wangu

Prince Akeem

JF-Expert Member
May 26, 2013
884
376
Kuna haka katabia tigo nahisi wananiibia dakika zangu za muda wa Maongezi kwa kujiongelesha kuwa muda umebaki kidogo utasikia wanaanza "you have less than one minute afu wanasema tena kwa kiswahili umebakiwa na dakika moja tuu.

Sasa hapo ubaya yule uliyempigia anaona kama umekaa kimya afu wanakula kama sekunde zangu 10.

Naomba nishauriwe jinsi ya kutoa hako ka ujumbe
 
Back
Top Bottom