Wananodi
Kwa siku za karibuni Raisi ameshauriwa namna bora ya kudeal na mikataba mibovu , ambayo wenzake wa CCM walitutumbukiza na kututia hasara kubwa sasa angalieni siku hizi anavyoandikwa na...
eti kwel destiny ya mama lazma ifanane na ya watoto destiny ya mama ndo inaonesha ya watoto km ya mama mbya na watoto mbaya km nzur na watoto nzur kwel kwann?
Habari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?
Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.
Sikuwahi...
Usiku huu 30/3 ITV wanarusha kipindi mubashara cha kampeni ya usalama barabarani yenye anuwani ''kampeni ya usalama barabarani kusaidia kupungua kwa ajali za barabarani je niendelevu?''...
Naomba kusaidiwa jambo moja juu ya huyu mtumishi wa mungu anaitwa Anthon Lusekelo almaarufu mzee wa upako, nimekua nikifuatilia kwa muda mafundisho na ibada zake kupitia luninga, mara kadhaa...
wakuu habari za mida.
nina tattizo la muda kama miezi miwili sasa , meno yangu yanasumbua sana, napotafuna chakula napata hisia kama kuna mchanga kwenye meno ingawa chakula hakina mchanga, hii...
Ukichunguza mwonekano wa pesa zetu kuanzia coin mpk noti, kweli hazivutii kwa mtafutaji kuzitafuta kisawasawa.
Tanzania ina vitu vingi sana (current) kama rasilimali nzuri sana zinazoitambulisha...
Habari za jioni wanajamii. Naomba tuelimishane hapa, kuna sheria yoyote ya barabarani inayo mtaka mwendesha chombo cha moto kuwa na Certified Copy ya Card ya chombo husika kama Gari etc anapokuwa...
Kwa kweli Mzee wetu Mwakembe uko kama umelogwa au una nizamu ya woga.
Unaharibu kabisa sifa ya taaluma yako kiasi wanafunzi wako ndiyo wanakuonyesha njia na kukuongoza. Unawafanya Watanzania kama...
Kuna taarifa za uhakika kuwa nyongeza za mishahara ya watumishi wa umma kwa mwaka 2016/2017 hazikufanyika coz hazikukuwepo kwenye budget ikiwa na maelekezo toka kwa Mkulu, wabunge walipitishaje...
Naipenda hii!Maajabu yetu Waafrika tuyafanyayo kwa jina la "UTAMADUNI WETU"*
*1 Tunamjali sana mtu akiwa marehemu kuliko akiwa hai*
*2.Tunagharamia mno kuwazika marehemu kuliko kuokoa maisha...
Wakuu,
Naomba kujuzwa jambo/mambo jipya au mapya kabisa aliyoyafanya Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli, ambalo amelianzisha yeye na kulifanya.
Nadhani mambo mengi ameyakuta aidha yapo kwenye...
Mistakes zake zimeshajulikana kwa watu, yeye ni binaadam na anaumia kwa haya.
Alifanya some stupid decisions and some horrible choices, Lakini alifanya mazuri pia. swali langu hapa...
Huku nilipo vinaitwa vifurushi.
Ukifika unasema niunge utaulizwa cha siku au wiki. Yaani kimoja au viwili?
Ukishachagua kifurushi chako pendwa unaulizwa tigo au voda. Tigo ni highlife na voda ni...
Mara utasikia , Rais wa TFF., Mara utasikia Rais wa TLS. Mara utasikia Rais wa jamuhuri ya Tanzania. Sasa kila mtu hapa ni msemaji na hasa Hawa marais fake. Wanaongea kuliko hata Rais Orginal. Hiv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.