Habari za jioni wanajamii. Naomba tuelimishane hapa, kuna sheria yoyote ya barabarani inayo mtaka mwendesha chombo cha moto kuwa na Certified Copy ya Card ya chombo husika kama Gari etc anapokuwa barabarani? Kuna event moja leo rafiki yangu alisimamishwa na traffic akakaguliwa na kukutwa ana documents zote muhimu, fire extinguisher, triangle etc isipokuwa Card ya gari yake alikuwanayo isipokuwa haikuwa certified. Traffic akampiga fine ya kosa moja na akatakiwa alipe Sh 30,000/= Sasa je ni sahihi alichofanyiwa?