Hashim bin Faustin
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 177
- 216
Kwa kweli Mzee wetu Mwakembe uko kama umelogwa au una nizamu ya woga.
Unaharibu kabisa sifa ya taaluma yako kiasi wanafunzi wako ndiyo wanakuonyesha njia na kukuongoza. Unawafanya Watanzania kama vile wajinga hatuelewi chochote. Kwa kweli unakosea sana.
Mimi ni Darasa la Saba tu , lakini hivi sasa nimekuwa sikuelewi kabisa katika utendaji wako zamani nilikuamini sana , tena sana kiasi kwamba nilikuombea kwa Mola uwe Rais wa Nchi hii au kosakosa uangukie Uwaziri Mkuu. Lakini kila siku zinavyo kwenda nahisi nilifanya makosa kukuombe. Sura yako imejaa unafki mkubwa na unatumia taaluma yako ndivyo sivyo. Naomba uelewe hapa Dunia tuko kwenye mapito tu , tumia taaluma yako vizuri na kwa ukweli na haki tu. Acha woga, Acha unafki simamia Haki. Watanzania Milion 50 tunategemea wasomi kama wewe mtutetee na kulinda Haki zetu. Tafakari na Jitathmini katika utendaji wako. Wewe ulikuwa Waziri wa Sheria na Katiba kama Taaluma yako , lakini Ghafla umetupwa kwenye Michezo. TAFAKARI !