hisia ya mchanga kwenye meno

Feb 8, 2017
79
27
wakuu habari za mida.
nina tattizo la muda kama miezi miwili sasa , meno yangu yanasumbua sana, napotafuna chakula napata hisia kama kuna mchanga kwenye meno ingawa chakula hakina mchanga, hii hali inanisumbua sana, naombeni ushaur nitumie dawa gan?
 
Ndugu yangu pole sana aise, hebu jaribu kuwa ona watalam wa afya, ikishindikana hebu jaribu kufanya maombi, kuombewa au kujiombea.
 
Back
Top Bottom