Hizi ni mbegu za mmea gani?

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,289
12,957
Habari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?

Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.

Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.

Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?

Screenshot_2017-01-23-09-36-53.jpg
Screenshot_2017-01-23-09-39-47.jpg
Screenshot_2017-01-23-09-37-53.jpg
Screenshot_2017-01-23-09-38-25.jpg
Screenshot_2017-01-23-09-42-24.jpg
IMG_20170122_164121.jpg

Dah..hata mimi nilipokua mdogo kijijini nilikua naziona sana..ila mpaka leo sijajua niza mmea gani na zina umuhimu gani kiafya..
 
charminglady

HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.

MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
 
we acha uongo
 
Habari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?

Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.

Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.

Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?
Mizautuni
 
Ndiroro zinamaziwa
 
Hovyo kabisa..muongo kama mwanasiasa
 
Habari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?

Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.

Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.

Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?
Za korodown
 
genacide Mankey Snipes

MIAKA 55 YA UHURU WA TAIFA HILI, NA TUNA MITO, MABONDE NA MADINI AINA NYINGI NA WATU MILIONI 45 NA ASILIMIA 75 KATI YAO NI VIJANA LAKINI TAIFA LIPO HAPA LILIPO SABABU MOJA TU;

VIJANA WENGI WANAJIONA WANAJUA KILA KITU HUKU HAWAJUI KUWA HAWAJUI NA HILO NDIYO UGONJWA MKUBWA UNAOSABABISHA TAIFA HILI KUWA HAPA TULIPO LEO.

INASIKITISHA SANA KUONA VIJANA WA TAIFA HILI MNAKUWA NA ACCESS NA MITANDAO LAKINI HAMJUI KUITUMIA KUJUA VITU NYIE NI MAGROUP YA WHATSAPP NA INSTAGRAM KUJUA UMBEA NA DIAMOND NA KIBA WANAFANYA NINI

KINACHOUMIZA ZAIDI NI GRADUATES WENGI WENU VERY VERY SAD

YOU DONT READ NEITHER RESEARCH NI KU-ABSORB MAMBO YASIYO NA MAANA

YOU ARE IGNORANCE WONT TAKE YOU ANYWHERE AND THIS IS MY LAST POST TALKING TO PEOPLE WHO ARE NOT MY LEVEL

IF YOU STRUGGLE TO UNDERSTAND THE ARTICLES, PLEASE ASK FOR HELP I KNOW THAT WILL BE THE FIRST CHALLENGE YOU ARE GOING TO FACE

JUMAPILI NJEMA NGUMBARU
 
NGOJA NIKUTAFUTIE UTAFITI WA ULIOFANYIKA KUHUSU MBEGU HIZO
sina muda wa kupoteza kusoma nina vitu vya kusoma hapa JF
kipindi nina miaka 12 kurudi chini kama sijakosea
huo mti ulikuwa uwani kwetu na babu yangu alikuwa akitumia kama dawa kwa mambo yake ya uganga
pia enzi hizo za utoto tulishameza sana hizo mbegu yani sanaaa tulikuwa tukiongopeana kwamba ni dawa
mpaka sasa nna miaka 20+ sijawahi pata athari yeyote halafu unasema nini?? acha kupotosha watu na tafiti zenu za ovyo
[HASHTAG]#Hoja[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom