Tubadilike

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Mar 10, 2016
2,081
1,437
Naipenda hii!Maajabu yetu Waafrika tuyafanyayo kwa jina la "UTAMADUNI WETU"*

*1 Tunamjali sana mtu akiwa marehemu kuliko akiwa hai*

*2.Tunagharamia mno kuwazika marehemu kuliko kuokoa maisha alipokuwa anaumwa.*

*3. Hatusafiri kwenda kumsalimia ndugu anayeumwa, bali twasafiri wengi kwenda kumzika.*

*4.Ni nadra sana watu kukupa heshima ungali hai, lakini watapenda sana kukupa heshima za mwisho eti ukiwa kwenye jeneza*

*5.Wewe hujawahi kupewa ua na mtu yeyote tangu uzaliwe, lakini watalundika maua mengi mno juu ya kaburi lako*

*6.Utakesha msibani kwa jirani yako kwa kuwa amefariki, ila hukuwahi kufika ndani kwake hata siku moja akiwa hai.*

*7.Ukiwa hai hakuna anayetaka kujua kijiji unachotoka, ila ukifa, watajaa kwenye magari wasindikize jeneza lenye mwili wako kukiona hicho kijiji*

*8. Tunamchukua marehemu kumpeleka msikitini au kanisani kwa lazima hata kama mwenyewe alikuwa hapendi ibada kabisa.alipokuwa hai*

*9. Ijapokuwa hamjaweka marumaru popote kwenye nyumba zenu, mnajichanga familia ili kujengea hiyo kaburi la marehemu.*

*10. Historia *FUPI" ya marehemu huandikwa kwa uangalifu mno hata kama aliwahi kufungwa jela miaka kadhaa alipokuwa hai,haitaandikwa maana hiyo si historia, ila kama alienda semina ya siku 3 Ulaya, hiyo lazima iandikwe.*

*NATOA USHAURI:*
*1.Tuwajali watu wakiwa HAI kwanza 2.Tubadilike kimtazamo wa Utamaduni, tuangalie maendeleo ya waliobaki HAI* (Naomba waafrika tubadilike )
 
48e76037fa170e3d69354c67fa407eea.jpg
 
IMG-20170330-WA0001.jpg

Similar Discussions

Back
Top Bottom