my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,390
eti kwel destiny ya mama lazma ifanane na ya watoto destiny ya mama ndo inaonesha ya watoto km ya mama mbya na watoto mbaya km nzur na watoto nzur kwel kwann?
Sio kweli katu, mama zetu wengi Wetu wamezaliwa miaka ya 50's,60's,70's na kuendelea, mpaka sasa kina mama wa miaka hiyo nadhani wajua hata kwa ufupi about most of their destiny, like jrmbr la mkono, kuokota kundi, kuuza pombe kama chang'aa, sasa hapo wataka kusema na sisi tuwe na destiny hizo pia kama wao..??eti kwel destiny ya mama lazma ifanane na ya watoto destiny ya mama ndo inaonesha ya watoto km ya mama mbya na watoto mbaya km nzur na watoto nzur kwel kwann?