ITV malumbano ya hoja, acheni wachangiaji wachangie ya ukweli.

Jindal Singh

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
1,857
1,538
Usiku huu 30/3 ITV wanarusha kipindi mubashara cha kampeni ya usalama barabarani yenye anuwani ''kampeni ya usalama barabarani kusaidia kupungua kwa ajali za barabarani je niendelevu?''

Hongereni sana ITV kwa kutuletea kipindi hiki cha kuelimisha jamii kuhusu usalama wa barabarani. Ila kuna kitu kimoja tu! ambacho mimi huwa sijakipenda. Wachangiaji wamekuwa wakichangia kwa maono yao jinsi wanavyoona lakini yapata 80% ya wachangiaji wamekuwa wakichangia kwa kuikosoa serikali kwa utaratibu mbovu wa kutosimamia ipasavyo sheria za usalama barabrani na hii kutokana na watendakazi wao ambao ni askari wa usalama barabarani na tabia zao za kuyafanya makosa ndio chanzo cha mapato, na hapa ndio mzizi mkuu wa matatizo yote ya barabarani.
Sasa kuwapokonya mic na kukatisha mazungumzo hii nayo ni shida nyengine.
 
Zamani enzi za kina Adamu Lusekelo na Abdallah Majura malumbano ya hoja ilikwa malumbano kweli.Watu walichangia kwa nguvu ya hoja mpaka jasho linawatoka tofauti na sasa hata mada zenyewe hazina msisimko sana kama zamani
 
Back
Top Bottom