Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Wakuu,
Naomba kujuzwa jambo/mambo jipya au mapya kabisa aliyoyafanya Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli, ambalo amelianzisha yeye na kulifanya.
Nadhani mambo mengi ameyakuta aidha yapo kwenye chain, au yameshataka kuanzishwa ila yapo stage ya chini kabisa, sasa yeye anafanya muendelezo wa aliyoyakuta na sifa zinamuendea yeye.
Naomba kujuzwa kipi ni cha yeye kujivunia kwamba ni kipya mpaka sasa, hasa mimi ambaye sio mfuatiliaji wa mambo ya siasa.