witness kagirigiri
Member
- Mar 23, 2017
- 64
- 89
Mara utasikia , Rais wa TFF., Mara utasikia Rais wa TLS. Mara utasikia Rais wa jamuhuri ya Tanzania. Sasa kila mtu hapa ni msemaji na hasa Hawa marais fake. Wanaongea kuliko hata Rais Orginal. Hiv Sisi watanzania Nani ambaye katuroga? WENDAWAZIMU MITAANI WANAZIDI KUONGEZEKA, WAVUTA BANGI NDO USISEME. Hii kweli inaonyesha mwisho wa dunia. RAIS UNGEACHIA KIDOGO VITA HAPA TZ ILI AKILI IKAE VIZURI KAMA BURUNDI. NDOO WATZ TUNGEJUA UMUHIMU WA KUTUNZA AMANI.