Bahimba
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 510
- 346
Naomba kusaidiwa jambo moja juu ya huyu mtumishi wa mungu anaitwa Anthon Lusekelo almaarufu mzee wa upako, nimekua nikifuatilia kwa muda mafundisho na ibada zake kupitia luninga, mara kadhaa nimekua nikiona waumini wake wakitoa shuhuda za kutoka maisha duni mpaka maisha bora na mpaka utajiri, hebu kwa mwenye kujua falsafa za huyu mtumishi wa mungu,,,
Ana nini cha ziada ambacho hua anakifanya mpaka kufikia kubadilisha maisha ya waumini wake, karibuni kejeli haziruhusiwi.
Ana nini cha ziada ambacho hua anakifanya mpaka kufikia kubadilisha maisha ya waumini wake, karibuni kejeli haziruhusiwi.