Rais Magufuli mashirika ya habari duniani yatakutangaza vibaya hadi udeal vizuri na investors.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,513
15,692
Wananodi
Kwa siku za karibuni Raisi ameshauriwa namna bora ya kudeal na mikataba mibovu , ambayo wenzake wa CCM walitutumbukiza na kututia hasara kubwa sasa angalieni siku hizi anavyoandikwa na vyombo vya kimataifa kama BBC, SABC, DAILyMAIL, Aljazeera na vyombo vingine vinajadili mabaya yake tu kisa anakurupuka kwenye maamuzi yake.
 
Mods saidieni neno losomeke investors pale kwenye haeding.
 
Akubali kwanza uraisi ni tasisi na afanye kazi kama Tasisi aache maneno ya shombo Kuwa fomu alichukua mwenyewe
 
Kikubwa Rais anadhani pre infos za watu wa usalama zinatosha yeye kufanya maamuzi mazito, siku hizi wanamwita dikteta, na mashirika kama IMF yanaonya kua Tanzania itakua na uchumi mbaya kuliko zimbabwe na burundi zilivyo leo.
 
Hata kama wakiandika habari zake vibaya ,tunajua wao ni wanyonyaji sasa tuna kwenda sambamba acha wachukie.GOOD ENOUGH PRESIDAA
 
Kwan wakimtakia mazur ndio yatabadili nini??? Usipende sana kusifiwa japo binadamu wengi wanapenda sifa,,wacha wakuponde then wewe uwajib kwa vitendo
 
Wananodi
Kwa siku za karibuni Raisi ameshauriwa namna bora ya kudeal na mikataba mibovu , ambayo wenzake wa CCM walitutumbukiza na kututia hasara kubwa sasa angalieni siku hizi anavyoandikwa na vyombo vya kimataifa kama BBC, SABC, DAILyMAIL, Aljazeera na vyombo vingine vinajadili mabaya yake tu kisa anakurupuka kwenye maamuzi yake.
Hata Gaddafi yalimtangaza vivyo hivyo. Ukisifiwa na mashirika hayo, ujue unatumikia maslahi ya makaburu
 
Hakuna uchumi wa nchi moja.uchumi in mchanganyiko wa shughuli nyingi. Wala sio kukusanya fedha za kodi na kuzilalia. Shughuli bado pevu uchumi wote ni wa baba J. kwani fomu alienda mwenyewe kuchukua;kampeni alifanya mwenyewe na kura alipiga mwenyewe.
 
Wananodi
Kwa siku za karibuni Raisi ameshauriwa namna bora ya kudeal na mikataba mibovu , ambayo wenzake wa CCM walitutumbukiza na kututia hasara kubwa sasa angalieni siku hizi anavyoandikwa na vyombo vya kimataifa kama BBC, SABC, DAILyMAIL, Aljazeera na vyombo vingine vinajadili mabaya yake tu kisa anakurupuka kwenye maamuzi yake.
Wote hao ni wapiga dili ngoja wanyooshwe. Wataandika mpak wachoke.
 
Hata Gaddafi yalimtangaza vivyo hivyo. Ukisifiwa na mashirika hayo, ujue unatumikia maslahi ya makaburu

Ni afadhali utangazwe vibaya ukiwa na uchumi mzuri! Lakini uchumi huu wa kutisha? Hata walio wako watakutangaza vibaya tu!
 
Anakwambia wasubiri ripoti ya wataalam itakayoonesha kontena lina 90% ya dhahabu

Hivyo vyombo vya habari visiache kuja kuripoti namna tunavyoibiwa.
 
Back
Top Bottom