UTAPELI SACCOSS MIKWAMBE(KWA PINDA)KIGAMBONI
Kuna utapeli umefanyika maeneo ya Mikwambe kwa PINDA Kigamboni,
Wamejitokeza matapeli wanaotumia uelewa duni wa akina mama wanaohitaji mikopo midogo midogo ya biashara ambapo matapeli hao walikuja na style ya aina yake ya kutoa mikopo kwa riba nafuu sharti ni kuweka asilimia 25% ya mkopo unaotaka na kusubiri wiki moja na kuja kichukua mkopo wako.
STORY KAMILI;
Hawa jamaa walikodi nyumba nzima nakujitangaza kuwa wanatoa mikopo kwa wajasiliamali akina mama.
JINSI YA KUKOPA:
Mkopaji alitakiwa kufika ofisini na kujaza fomu na kuweka picha kuwa na wadhamini na kuweka asilimia 25% na kusubiri siku7 nakuja kuchukua mkopo wapo waliopata ila lengo la hawa MATAPELI lilipotimia wamekimbia saa tisa usiku siku ya tarehe 4/04/2017 yaani juzi usiku baada ya kuvuna hizo asilimia 25% haijajulikana rasmi wametapeli kiasi gani akina mama hao wamefungua kesi MJI MWEMA POLICE na KIGAMBONI POLICE.
JUKUMU LA TCRA, POLICE NA SERIKALI YA MTAA MWAPEMBA(KWA PINDA MIKWAMBE KIGAMBONI)
1.TCRA: Namba iliyoandikwa katika fomu ya maombi 0629 097 833 MR. MOHAMED waitafute hii namba ilisajiliwa na nani na mawasiliano yake.
SERIKALI YA MTAA: Wao kama saccos ilifunguliwa katika eneo lao je walifata utaratibu gani kujua hii saccos sio matapeli na nyumba waliopanga mwenye nyumba nae asaidie police watu aliowapangisha.
POLICE KIGAMBONI:
Akina mama wamekuja kufungua kesi ya utapeli huu waonyeshe mfano kuwakamata matapeli hawa na wapewe adhabu kali na iwe fundisho kwa wengine.