Mchg.Godfrey Walalaze (KKKT-Kaskazini) namuona kuwa ASKOFU Mkuu

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
Mchungaji GODFREY WALALAZE;

wa Makanisa ya KKKT Kaskazini, ana sifa za kuwa ASKOFU wa KANISA hilo.

Wakati mwingine makanisa hayajui kuchagua bali yanafata upepo au maslahi. Watu makini na wenye weledi na wanaojua misingi ya imani sahihi hamuwataki. Mimi ni Mkatoliki lakini nawapa wazo tu la kimaono. MTANIKUMBUKA!!!!!!!!!

Deogratius Kisandu.
FB_IMG_1491398558009.jpg
 
Sina hakika na taratibu za uchaguzi ama uteuzi wa Askofu, ila huyu mtumishi ninamfahamu vizuri na kwakweli kwa wito alionao na uwezo wake, anastahili kuwa nafasi ya tofauti na aliyo sasa.
 
Kwa


Kwa Jina la Yesu, hii ID siyo yangu. Nainapotosha. Eti "KISHANDU" ndio jini gani huko kwenu?
Kwanza niombe radhi kwa kujibu swali lisilo langu pale mwanzo linalohusu umri, ila mkuu KISHANDU sio jini, ni jina langu kama wewe unavyoitwa KISANDU, na hakuna upotoshwaji uliofanyika hapo, itapendeza kama tutaweza kuheshimiana
 
Back
Top Bottom